Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina!
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
Utupe leo chakula chetu tunachohitaji
Utusamehe makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie Katika majaribu,
Lakini utuokoe, na yule, milele na milele!
CHORUS
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
CHORUS
Utupe leo chakula chetu tunachohitaji
Utusamehe makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie Katika majaribu,
Lakini utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
Our Father, Jesus, who art
in Heaven. Amen!
Our Father, Jesus
Hallowed be thy name.
(x2)
Give us today our food according to our need,
Forgive us our errors
As we forgive those who err against us
Do not place us in trials
But save us from the evil one, the kingdom is yours, and the power, and the glory
CHORUS
Your Kingdom come
Your will be done on earth as in heaven. Amen
CHORUS
Give us today our food according to our need,
Forgive us our errors
As we forgive those who err against us
Do not place us in trials
But save us from the evil one, the kingdom is yours, and the power, and the glory
Our Father, Jesus who art…
Hallowed be thy name.
(x2)